Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International limeitaka Serikali ya Tanzania kutoa maelezo ya haraka kuhusu alipo na hali ya kiafya ya aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole / Ukraine na Urusi zimeshambuliana usiku wa kuamkia Jumatano 08.10.2025 ambapo takriban watu watano waliuawa