Je, unapopata fedha huwa unaweza kufanya vile ulivyojipangia au unatumia tu? Unawezaje kudhibiti matamanio yako yaendane na mipango yako? Msikilize Mshauri wa Uchumi na Maendeleo Binafsi, Janeth Soka akifafanua hoja hii.

✍Juliana James
Mhariri | @claud_jm

#AzamTVUpdates

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *