Mgombea ubunge jimbo la Kigoma Kusini kupitia CCM, Nuru Kashakali, ameahidi kuchimba kisima cha maji kwa fedha binafsi katika kijiji cha Katete, kata ya Ilagala, pamoja na kuboresha huduma za afya na miundombinu ya barabara katika vitongoji ili kurahisisha mawasiliano kwa wakulima.
Nuru amesema hayo katika mkutano wa hadhara uliofanyika Ilagala sokoni wakati akiomba kura kuwa mbunge.
✍ Jacob Ruvilo
Mhariri @claud_jm
#AzamTVUpdates