Mkurugenzi wa Huduma za Kinga katika Taasisi ya Saratani Ocean Road, Dkt. Crispin Kahesa amesema unene au uvimbe ndani ya titi, pamoja na mabadiliko ya sura au mwonekano wa titi ni miongoni mwa viashiria vya awali vya ugonjwa wa saratani ya matiti.

Amesema kutambua mapema dalili hizo ni hatua muhimu katika kupunguza athari za ugonjwa huo na kuongeza uwezekano wa tiba kufanikiwa.

#AzamTVUpdates
✍Alpha Jenipher
Mhariri | John Mbalamwezi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *