Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoani Rukwa limeanza kuwasaka watu wanaohujumu miundombinu, ikiwemo kuiba umeme kwa mbinu mbalimbali kinyume cha sheria.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi