#HABARI: Wasimamizi wa vituo vya kupigia kura katika Jimbo la Kigoma mjini wametakiwa kusimamia sheria za uchaguzi na kutoa haki sawa kwa wapiga kura kwa kuwa dhamana waliyopewa ya kusimamia zoezi hilo la uchaguzi wa madiwani, wabunge na rais ni kubwa na inapaswa kufanyika kwa usawa na amani.

Amebainisha hayo Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi Jimbo la Kigoma mjini David Rwazo wakati wa mafunzo kwa wasimamizi wa vituo vya kupigia kura.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *