Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dkt. Luzila John amesema mtindo mbaya wa ulaji wa chakula umechangia ongezeko la magonjwa yasiyo ya kuambukiza yanayosababisha vifo vya zaidi ya watu milioni 40 duniani kila mwaka.
Akizungumza wakati wa uzinduzi wa wiki ya magonjwa yasiyo ya kuambukiza, Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga, Dkt. Luzila John amehimiza wananchi kupima afya mara kwa mara.
#AzamTVUpdates
✍Kasisi Casta
Mhariri | John Mbalamwezi