Katika kuhakikisha vijiji vilivyopo pembezoni mwa hifadhi vinanufaika na shughuli za uhifadhi, Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapo…
Katika kuhakikisha vijiji vilivyopo pembezoni mwa hifadhi vinanufaika na shughuli za uhifadhi, Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imekabidhi madawati 150 kwa shule za msingi wilayani Bariadi, mkoani Simiyu,…