Libya: Ujumbe wa UM wakosolewa baada ya makubaliano na Qatar kwa kufadhili mchakato wa kisiasa
Nchini Libya, kusainiwa kwa makubaliano ya kufadhili uzinduzi upya wa mchakato wa kisiasa kati ya ubalozi wa Qatar huko Tripoli na mwakilishi wa mpango wa maendeleo wa Umoja wa Mataifa…