Kifo cha Pilipili chamuibua MC Luvanda, ataja mbinu za usalama kwa wasanii
Kufuatia kifo cha mshereheshaji na mchekeshaji maarufu nchini Emanuel Mathias (Mc Pilipili)...
Kufuatia kifo cha mshereheshaji na mchekeshaji maarufu nchini Emanuel Mathias (Mc Pilipili)...
PROSECUTORS have called for a life sentence for a Sudanese militia leader convicted of committing crimes against humanity during the East African country’s previous civil war more than two decades…
Wakati nchi sita zitakazocheza hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania kufuzu Fainali za Kombe la...
Baada ya Mousa Camara kufanyiwa upasuaji wa goti juzi huko Morocco, kipa anayeshika nafasi yake...
Waarabu warudi tena kwa Fei Toto na mzigo wa maana KLABU ya Al Ahli Tripoli imezidi kuweka presha ya kumtaka kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’, safari hii…
ETHIOPI: ETHIOPIA has confirmed three deaths linked to Marburg virus in the country’s south, as health authorities race to contain an outbreak of the deadly haemorrhagic disease that has put…
AMUUA MKEWE KWA KIPIGO, NAYE AJIUA KWA SUMU #HABARI: Mayala Juma mkazi wa Kitongoji cha Bugoma, Kijiji cha Kilombero, Kata ya Lwamgasa Wilaya ya Geita, amemuua mkewe Maria Salavatory kwa…
BANGKOK: THE women’s national cricket team is set to embark on one of its most significant international assignments yet as it opens its 2025 ICC Women’s Emerging Nations Trophy campaign…
Waarabu warudi tena kwa Fei Toto na mzigo wa maana KLABU ya Al Ahli Tripoli imezidi kuweka presha ya kumtaka kiungo wa Azam FC, Feisal Salum ‘Fei Toto’, safari hii…
#MEZAHURU:Michezo Uchumi. Tunaangalia juu ya uwekezaji katika michezo. Je, nini kifanyike ili dhana ya uwekezaji iwe kipaumbele katika michezo?
DAR ES SALAAM: SERENGETI Boys Coach Elieneza Nsanganzelu has attributed his team’s stunning 11–0 rout of Djibouti in the CECAFA Zone AFCON U-17 Qualifiers to a year-long programme of intense…
#MICHEZO: Baada ya Nyota wa Klabu ya Yanga SC, Clement Mzize, kuandika historia baada ya kutwaa Tuzo ya Goli Bora la Mwaka Afrika katika hafla ya CAF Awards 2025 iliyofanyika…
Wajasiriamali wa mitaani katika miji mbalimbali nchini ni kundi muhimu la wafanyabiashara...
DODOMA: IN a moment charged with the energy of a derby-day kickoff, newly appointed Minister for Information, Culture, Arts and Sports Palamagamba Kabudi made a bold and spirited declaration in…
Wapalestina wasiopunguua 28 wameuawa shahidi katika wimbi jipya la mashambulizi ya kinyama yanayofanywa na jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel kwenye Ukanda wa Ghaza, yakiwa ni moja ya ukiukaji…
Watu wapatao 70 hawajulikani walipo baada ya boti kuzama mtnio katika Mkoa wa Kasai katikati mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
Shirika la Umoja wa Mataifa la Afya Duniani (WHO) pamoja na wadau wa Umoja wa Mataifa wametoa ripoti muhimu inayoonyesha kuwa ukatili dhidi ya wanawake ungali ni janga kubwa la…
Tanzania kuwa lango kuu la kuzifikia nchi nyingine za Afrika ya Mashariki na kusini mwa Afrika...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema, atakutana na Meya mteule wa Jiji la New York Zohran Mamdani katika Ikulu ya White House siku ya Ijumaa.
🔴KUMEKUCHA KISHINDO:..NOVEMBA 2O, 2025
DAR ES SALAAM: AZAM FC jetted out of the country yesterday with the focus, fire and hunger of a team determined to conquer the continent, heading to the Democratic Republic…
#HABARI: Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limetunuku tuzo maalum za heshima kwa Marais wa Tanzania, Kenya na Uganda kutokana na mchango wao mkubwa katika maandalizi na uenyeji wa michuano ya…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, NOVEMBA 20, 2025
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa katika kupanua na kuboresha...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, ametahadharisha kuhusu ukuaji na upanukaji wa makundi ya kigaidi barani Afrika na kutangaza kuwa: "Hali ya usalama, hasa katika Afrika Magharibi na eneo la…
Dhahabu imeendelea kuwa moja ya chanzo kikubwa cha kuuingizia Tanzania fedha za kigeni baada ya...
Ripoti mpya ya shirika la afya duniani WHO, inasema kuwa, mwanamke mmoja kati ya watatu – ambao ni sawa na milioni 840 duniani kote, wamepitia ukatili wa kijinsia au unyanyasaji…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO: -- NOVEMBA 20, 2025
Mapitio ya #MAGAZETI leo Novemba 20, 2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
Nahodha wa Morocco Achraf Hakimi ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Kiafrika kwa wanaume. Hakimi anahitimisha msimu ambao alibeba Ligi ya Mabingwa Ulaya na klabu yake ya Paris…
Mjini Kinshasa, Waziri Mkuu Judith Suminwa aliwasilisha bungeni hivi majuzi sheria ya bajeti. Bajeti hii inafanya usalama kuongoza kwa matumizi ya DRC. Mkuu wa serikali anaamini kuwa “uhuru wa nchi…
Mahakama ya juu zaidi nchini Italia imeidhinisha kupelekwa Ujerumani kwa mwanamume mmoja wa Ukraine anayeshukiwa kusababisha milipuko iliyoharibu mabomba ya gesi ya Nord Stream.
🔴KUMEKUCHA: NJIA SAHIHI ZA KUPUNGUZA UZITO KISAYANSI-- NOVEMBA 20, 2025
Klabu ya soka ya Uingereza, Arsenal imetangaza kuwa itamaliza mkataba wake wa udhamini wa miaka nane na Visit Rwanda mwishoni mwa msimu wa 2025-26, ushirikiano uliokuwa kuwa na thamani yad…
Foleni katika barabara ya Mandela kutoka eneo la Buguruni hadi Ubungo, Dar es Salaam imeendelea kuwa changamoto kubwa kwa watumiaji mbalimbali wa barabara hiyo wakiwemo madereva na wenye ofisi kando…
Rais wa Marekani Donald Trump ameapa kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan. Hii ni kufuatia ombi la mwanamfalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman.
Jeshi la Israel limefanya mfululizo wa mashambulizi ya angani kusini mwa Lebanon jana. Lilisema liliyalenga maeneo ya Hezbollah, vikiwemo vya kuhifadhi silaha.
🔴#MAGAZETI: KIFO CHA MC PILIPILI CHAZIDI KUIBUA MASWALI MAZITO / YAKOUB ANOLEWA UPYA....
Rais wa Ukraine Volodymr Zelensky amesema kuwa Marekani na Rais wake Donald Trump wana jukumu muhimu katika juhudi za kukomesha vita vya Urusi nchini Ukraine. Hii ni baada ya mazungumzo…
Afrika Kusini inajiadaa kuwa mwenyeji wa mkutano wa G20, unaowakutanisha viongozi kutoka mataifa tajiri duniani, kujadili masuala mbalimbali yakiwemo ya kiuchumu na kisiasa. Maandalizi ya mkutano huo utakaofanyika sikuu za…
BRAZIL: TANZANIA has presented its National Water Grid Plan at United Nations Climate Change Conference (COP30) to demonstrate how the country intends to secure reliable water access and strengthen climate…
#KIPIMAJOTO: Wazazi wanaoshawishi watoto kufanya vibaya mtihani wa Taifa ili wakachunge Mifugo. Je, waadhibiwe kwa makosa ya ukatili wa haki za mtoto?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...NOVEMBA 20, 2025
Mchezaji Bora Afrika Mwaka 2025 kwa Wanaume ni Achraf Hakimi na kwa Wanawake ni Ghizlane...
Azimio jipya la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa (UNSC), linaloruhusu kile kinachoitwa kikosi cha kimataifa kutumia “mbinu zozote zinazohitajika kutekeleza wajibu wake” katika Ukanda wa Gaza limeelezwa na…
Wapalestina walioondoka Gaza hivi karibuni kupitia njia fiche ya uhamishaji inayodaiwa kuunganishwa na ofisi ya wizara ya vita ya Israel wanasema walipelekwa nje ya eneo hilo linalokumbwa na vita bila…
Maafisa wawili wa Kitengo cha Ulinzi wa Mpaka cha Kenya wameuawa Jumatano baada ya gari lao kukanyaga bomu la kutegwa ardhini (IED) lililowekwa na magaidi wakufurishaji wa al-Shabaab kutoka Somalia…
Eswatini imethibitisha kupokea dola milioni 5.1 kutoka Washington kama sehemu ya makubaliano ya kupokea wahamiaji waliofukuzwa Marekani licha ya kutokuwa na uhusiano wowote na taifa hilo la kusini mwa Afrika.
India na utawala wa Kizayuni wa Israel zimepanua ushirikiano wao wa kijeshi na kiviwanda kwa kutiliana saini hati mpya ya maelewano na ushirikiano.
DODOMA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) has issued a stern warning to newly sworn-in ministers and deputy ministers, insisting that the party will not hesitate to take action against any government…