‘Use innovation to cut rural electricity costs’
ARUSHA: CHAIRMAN of the Rural Energy Board (REB), Ambassador Retired Major General Jacob Kingu, has urged the Rural Energy Agency (REA) and the Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) to provide…
ARUSHA: CHAIRMAN of the Rural Energy Board (REB), Ambassador Retired Major General Jacob Kingu, has urged the Rural Energy Agency (REA) and the Tanzania Electric Supply Company (TANESCO) to provide…
SERIKALI kupitia Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) imenufaika na mradi wa uchumi wa buluu na kituo cha mafunzo unaolenga kuimarisha rasilimaliwatu, teknolojia safi na ustawi wa jamii katika…
JESHI la Polisi mkoani Tabora linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kutengeneza taarifa ya uongo kuhusu kutekwa kwa mwanamke aitwaye Hadija Jimmy, mwenye umri wa miaka 39. The post Adaiwa…
Umoja wa Mataifa umetangaza katika ripoti yake ya hivi punde kwamba raia milioni 17 wa Yemen wanakabiliwa na njaa kali, na idadi hii inatarajiwa kuongezeka.
DODOMA: PUBLIC servants across the country have been urged to adopt a culture of regular health check-ups to detect illnesses early and take swift action, an approach considered essential for…
DODOMA: A SPECIAL Seats Member of Parliament, Stella Ikupa has called on the private sector to continue supporting people with disabilities by providing them with prosthetic limbs due to the…
SERIKALI ya Tanzania imesema amani na usalama ni muhimu kwa maendeleo ya ukanda wa maziwa makuu. Makamu wa Rais, Dk Emmanuel Nchimbi amesema hayo wakati akichangia mjadala katika mkutano wa…
Muungano wa Oxford umeutaja utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni tishio kubwa kwa amani na usalama wa eneo la Asia Magharibi.
DODOMA: THE National Council for Technical and Vocational Education and Training (NACTVET) has announced selection of 145,575 applicants to join various certificate and diploma programmes for the 2025/2026 academic year.…
🔴KUMEKUCHA KISHINDO: USINDIKAJI WA VIUNGO |NOVEMBA 18, 2025
DAR ES SALAAM: TANZANIA’S leading tourism institutions have moved to quell safety concerns among prospective international travellers, affirming that the country remains secure and fully operational despite brief, isolated skirmishes…
🔴HABARI ZA SAA, SAA MBILI NA DAKIKA 55, NOVEMBA 18, 2025
Viongozi wa dunia wanakaribisha hatua hiyo kama "njia ya amani," huku wengine wakieleza wasiwasi wao, wakisema azimio hilo halina uwazi.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha azimio lililoandaliwa na Marekani la kuanzisha Kikosi cha Kimataifa cha Kurejesha Utulivu (ISF) katika Ukanda wa Gaza.
Rais Samia Suluhu Hassan alisisitiza umuhimu wa kuboresha miundombinu ya shule,lengo likiwa...
#HABARI: Jeshi la polisi Mkoa wa Tabora, linamshikilia mwanamke mmoja mkazi wa Tabora mjini Hadija Jimmy na wenzake wawili, kwa tuhuma za kutengeneza mazingira ya kujiteka kwa muda wa siku…
RAIS Samia Suluhu Hassan amewatakia heri wanafunzi 595,816 wa kidato cha nne waliotarajiwa kuanza mtihani wa kuhitimu elimu ya sekondari katika shule za sekondari 5,868 nchini Novemba 17, 2025. Kupitia…
JESHI la Polisi Mkoani Tabora linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kutengeneza taarifa za uongo kuhusu kutekwa kwa mwanamke aitwaye Adijaji Jimmy (39), mkazi wa Mkoa wa Tabora, kwa lengo…
Mahakama ya Bangladesh ilisema vipengele vyote vya uhalifu dhidi ya ubinadamu vilitimizwa huku ikimhukumu kifo Sheikh Hasina katikati ya machafuko ya nchi nzima.
Mapitio ya #MAGAZZETI leo Novemba 18,2025 kwenye #MorningTrumpet #UTV108 #AzamTVUpdates
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imesema Tanzania na Comoro zitaendelea kushirikiana katika maeneo matano ikiwemo utawala bora. Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru, Chrispin Chalamila amesema hayo alipotembelewa na…
🔴KUMEKUCHA MICHEZO : - NOVEMBA 18, 2025
Zaidi ya raia 100,000 wamefurushwa kutoka kwa Al Fasher magharibi mwa Sudan tangu kuchukuliwa kwa mji huo na Wanajeshi wa Msaada wa Haraka (RSF) mwezi uliopita, IOM imesema.
Majadiliano kuhusu uhifadhi wa misitu imekuwa moja kati ya ajenda kuu za mkutano wa tabianchi wa COP30. Imechapishwa: 18/11/2025 – 05:56 Dakika 1 Wakati wa kusoma Matangazo ya kibiashara Soma…
RAIS Samia Suluhu Hassan ametangaza Baraza la Mawaziri la kimkakati lenye wizara 27 huku kukiwa na mabadiliko kadhaa ikilinganishwa na lililomaliza muda wake. Ameanzisha Wizara ya Maendeleo ya Vijana ambayo…
Katika ulimwengu wa sasa unaotawaliwa na teknolojia na ubunifu, vijana wengi duniani wanazidi...
Leo ni Jumanne tarehe 27 Jamadul-Awwal 1447 Hijria mwafaka na tarehe 18 Novemba 2025.
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, hapo jana alitangaza baraza lake la mawaziri 27, akiwaacha nje mawaziri 7 waliohudumu katika serikali iliyopita. Imechapishwa: 18/11/2025 – 05:14Imehaririwa: 18/11/2025 – 05:21 Dakika…
Mwanamke Ilham Yazido mkazi wa Bukumbi wilayani Misungwi mkoani Mwanza anayedaiwa kutelekezwa na mumewe ambaye anatajwa kuwa ni raia wa Kongo ameomba msaada wa mtaji kwa ajili ya kuendesha shughuli…
Tuvunje minyororo ya mtazamo wa ndani na kufungua milango ya ulimwengu kwa vijana wetu.
🔴KUMEKUCHA: MKAKATI WA KITAIFA WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA -- NOVEMBA 18, 2025
Mrengo wa upinzani nchini Mali, umeituhumu utawala wa kijeshi kwa kushindwa kuilinda nchi hiyo dhidi mashambulio ya wanajihadi ambao umesababisha uhaba wa mafuta. Imechapishwa: 18/11/2025 – 04:54Imehaririwa: 18/11/2025 – 05:00…
🔴#MAGAZETI: BARAZA LA MAWAZIRI KIMKAKATI / PEDRO, PANTEV NGOMA NZITO....
#KIPIMAJOTO: Baraza Jipya la Mawaziri. Je, limekidhi matarajio ya wengi?
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI...NOVEMBA 18, 2025
Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) lazima litimize maagizo liliyokabidhiwa ya kiufundi, lijiepushe na mielekeo ya…
DODOMA: PRESIDENT Samia Suluhu Hassan has announced a 27-member cabinet formed after the restructuring of several ministries to enhance efficiency. Announcing her cabinet at Chamwino State House in Dodoma on…
Mfumuko wa bei na gharama ya maisha zinazidi kupanda huko Israel. Huku hali ikiwa hivyo ripoti rasmi ya Taasisi ya Bima ya Israel inaoneesha kwamba umaskini umeongezeka kwa zaidi ya…
Wizara ya Mambo ya Nje ya Sudan imetangaza kwamba Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Maziwa Makuu uliofanyika Kinshasa mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo umeidhinisha pendekezo la…
Msemaji wa serikali ya Russia amepinga taarifa za kuchochea vita zinazoenezwa katika nchi za Ulaya na kwa mara nyingine amesisitiza kwamba Moscow inachukua hatua zinazohitajika kulinda usalama wake lakini haitaki…
Karibu mwezi mmoja baada ya kuapishwa kuwa "rais wa mpito" wa Madagascar, Michael Randrianirina kwa mara ya kwanza amelihutubia taifa akiwa na shauku na hamasa kubwa na kutoa ahadi nyingi…
Mvutano wa nyuklia kati ya Russia na Marekani umeongezeka kadiri muda wa mkataba wa nyuklia wa New START unavyokaribia kumalizika, na hivyo kuuweka mkataba huo katika mustakbali usiojulikana.
Rais wa Marekani Donald Trump amesifu uidhinishaji wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa azimio la Marekani linalounga mkono mpango wake wa amani kwa Gaza, akisema ni kama…
Nigeria imeripoti utekaji mwingine wa wanafunzi katika jimbo la Kebbi, tukio linaloendeleza hali ya ukosefu wa usalama kaskazini mwa nchi. Haijulikani ni nani hasa aliyehusika.
Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, ameondoka Riyadh kuelekea Marekani kwa ziara yake ya kwanza tangu mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Khashoggi mwaka 2018, ambayo yalileta ukosoaji mkubwa…
Kansela wa Ujerumani Friedrich Merz atakutana na viongozi wa Ufaransa na Uingereza mjini Berlin jioni ya leo. Taarifa hiyo ni kwa mujibu wa msemaji wa serikali.
Zaidi ya watu milioni 22, wengi wao watoto, wako hatarini kufa kutokana na magonjwa yanayoweza kuzuilika ifikapo 2030 kwa sababu ya kupunguzwa kwa misaada ya Marekani na Ulaya.
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeidhinisha mpango wa Marekani kwa Gaza unaoruhusu kuundwa kwa jeshi la kimataifa la uthabiti ili kutoa usalama katika eneo na pia kuonyesha njia…
Miongoni mwa taarifa zilizoandaliwa ni: Nigeria imeanza mazungumzo na Marekani kufuatia vitisho vya Rais Donald Trump vya kuingilia kati kijeshi kutokana na mauaji ya Wakristo yanayofanywa na wapiganaji wa itikadi…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeidhinisha mpango wa Marekani kwa Gaza +++Mwanamfalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, ameondoka Riyadh kuelekea Marekani kwa ziara yake ya kwanza +++Kansela…