Zaidi ya Wakenya 200 wanapigana kwa niaba ya Urusi nchini Ukraine
Mamlaka nchini Kenya imesema raia wake 200-wanapigana vita vya Ukraine kwa niaba ya Urusi, kukiwa na hofu kuwa huenda wengine wakasajiliwa kujiunga kwenye mzozo huo. Imechapishwa: 13/11/2025 – 16:42Imehaririwa: 13/11/2025…