#HABARI: Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB), imefungua rasmi Maktaba ya mkoa wa Ruvuma baada ya kusimama kutoa huduma kwa miaka mitatu mfululizo kutokana na uchakavu wa majengo huku Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas akiwaasa vijana kutumia Maktaba hiyo kufanya Tafiti mbalimbali na kuongeza Ubunifu.

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas, ametoa wito huo mara baada ya kufungua maktaba hiyo ambayo ilisimama kutoa huduma kwa takribani miaka mitatu iliyopita kutokana uchakavu wa majengo uliokuwepo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *