Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Agnes Kayola amewahimiza wawekezaji wa Kitanzania wanaofanya shughuli zao nchini Malawi kuendelea kununua na kutumia malighafi kutoka Tanzania, akisema hatua hiyo itaongeza biashara na kuimarisha zaidi mahusiano mazuri kati ya nchi hizo mbili.
Umejipangaje kutumia fursa hii kujiinua kiuchumi? Tutumie maoni yako na tutayasoma katika kipindi cha #AdhuhuriLive saa 7:00 mchana kupitia #UTV.
#AzamTVUpdates