#HABARI: Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert, Chalamila amesema pamoja na mambo mengine yanayodaiwa kuongeza chuki kwenye jamii ni pamoja na utekaji, kukosekana kwa ajira kwa vijana, wananchi kutosikilizwa, viongozi kuishi maisha ya starehe, matumizi mabovu ya rasilimali za umma, matumizi ya nguvu kupita kiasi na mengineyo.

Akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari jijini Dar es Salaam leo Desemba 05, 2025, Chalamila amesema hata wao kwa upande wa Serikali (Mkoa wa Dar es Salaam) wanalaani vikali matukio hayo.

Powered by #MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *