#KIPIMAJOTO: “Matokeo ya Tume hii ya Uchunguzi yatasaidia hata mjadala mpana wa kuridhiana, kwa sababu kuridhiana ni mchakato na ni hatua kwa hatua kuna mambo tunaridhiana kwa sasa kuna mambo yanasubiri uchunguzi huu……” David Kafulila – Mkurugenzi Mtendaji PPPC
Powered by #MCHEZOSUPA
JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
–
Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.
#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania