Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imeanza kutoa vibali kwa kampuni za usafirishaji wa abiria kwenda mikoa mbalimbali ili kukabiliana na uhitaji mkubwa wa wasafiri wanaotoka Dar es Salaam kwenda mkoa mbalimbali nchini.

Wakati huo huo Shirika la Reli nchini (TRC) nalo limeongeza idadi ya mabehewa ya abiria.

#AzamTVUpdates
Mhariri | @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *