Askari wa usalama barabarani kwa kushirikiana na wataalamu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS sambamba na TARURA wametakiwa kufanya kazi kwa pamoja katika maeneo yenye msongamano jijini Dar es Salaam ili kuondoa changamoto hiyo.
Msongamano huo unaotajwa kuwepo kwenye maeneo ya ujenzi wa miundombinu ya ‘mwendokasi’ umemlazimisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Aisha Amour kutoka ofisini na kufanya ukaguzi.
Imeandaliwa na Esterbella Malisa.