Kuna aina nyingi za utalii duniani huku maarufu zaidi ukiwa utalii wa kutazama asili ya mazingira ‘nature’ hata hivyo aina hii ya utalii inapoenda mbali zaidi na kuwafanya binadamu kuishi na wanyama pori, kuwalisha, kucheza nao hususani wanyama wakali ‘inaongeza uzuri wa utalii huo.’
Enos Masanja ameshuhudia hilo mkoani Kilimanjaro na kutuandalia taarifa ifuatayo.
Mhariri @moseskwindi