“Alright Alright Alright Mrisho Senga hapa…” 😇
Mashabiki wa tamthilia mpo?
Mzee wa #TuongeeTamthilia 🎬 @mrisho.senga_ anakukaribisha tena kwenye chaneli yako pendwa #AzamTWO
Ungependa aanze wapi? Taja, mtaa, kata, tarafa, wilaya au mkoa halafu tubishe hodi…