Inawezekana kabisa wengi wenu bado hamjashtukia kama mahitaji ya zao la parachichi ni makubwa kuliko kiwango cha uzalishaji ndani na nje ya mipaka ya Tanzania, basi kama ni ndio basi sogea karibu na #SentrocloudsTv hapa @cloudstv leo kuanzia saa 01:30 Usiku ujifunze mchongo huu unaoweza kukusogeza jirani kabisa na mamilionea wenzako.

Tukutane Saa moja na Nusu Usiku.
@cloudstv 2026
#Nyoosha!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *