Tunamsogeza kwako champion wa mipango yoote kwenye kilimo cha zao la parachichi kutoka ukanda wa nyanda za kuu kusini mwa Tanzania, Steven Mlimbila maarufu NEMES, hapa kitivoni leo atakuwa na wajibu mkubwa wa kukufungulia code ngumu kwenye zao la parachichi.
NEMES atanyoosha maelezo ya utajiri wake kwenye zao hili na ramani ya mchongo mzima hatua kwa hatua, lengo ni kukukusanya wewe pamoja na fursa hii.
Tukutane saa 1:30 usiku.
@cloudstv 2026
#Nyoosha!