Mwalimu mkuu msaidizi wa shule ya sekondari Londoni ya manispaa ya Songea amekamatwa na polisi kwa tuhuma za kuanzisha utaratibu wa kuwataka wanafunzi kuripoti shule na mifuko mitatu ya saruji bila wazo hilo kupitishwa katika utaratibu wa vikao vya shule na wazazi.
Hatua hiyo imekuja baada ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas kufanya ziara ya kustukiza shuleni hapo.
Tazama hali ilivyokuwa katika taarifa iliyoandaliwa na Mawazo Mwaijengo.
Mhariri @moseskwindi