Pale ambapo @moseskwindi alipogeuka kuwa muimbaji wa Wenge Musica BCBG katikati ya Alasiri Lounge kuelekea mchezo wa AFCON kati ya DCR na Algeria.

Huyu jamaa ana vibweka sana ujue….mtazame kwanza ha ha ha ha ha ha

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *