Msimamizi wa ujenzi wa miundombionu ya shule yakiwemo madarasa, matundu ya vyoo katika moja ya shule za mkoani Ruvuma amekamatwa polisi baada ya kubainika kughushi nayaraka za mkataba wa ujenzi huo na kujipatia Shilingi Milioni 80 kiudanganyifu.
Mawazo Mwaijengo ameshuhudia tukio la kukamatwa kwa msimamizi huo chini ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas.
Mhariri @moseskwindi