Umewahi kukutana na athari ya uhalifu wa mtandaoni?
Taarifa zinadai kuwa utapeli huo umeendelea kuwa tishio kwa wengi na athari zake zikisambaa kwenye sekta mbalimbali ikiwemo biashara za mitandaoni.
Jarida la masuala ya uhalifu wa mitandao “Cybersecurity Ventures” toleo la Disemba 2025 linakadiria uhalifu wa mtandao utasababisha hasara ya Dola Trilioni 9.5 duniani kote.
Mhariri @moseskwindi