Wakazi wa kijiji cha Mpete na maeneo jirani ya kijiji hicho kilichopo wilayani Sumbawanga mkoani Rukwa wametakiwa kuhama kwenye kambi za wavuvi zilizopo kwenye mwambao wa Ziwa Rukwa kupisha mvua za masika kwa hofu ya ziwa hilo kujaa maji ya kuzidi kiwango na kusababisha kambi hizo kuzingirwa na maji yanayohatarisha maisha yao.

Mhariri @moseskwindi

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *