Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Dkt. Gervas Kasiga ameipongeza #AzamMediaLimited kwa kuendelea kudhamini Tuzo za filamu nchini kwa misimu minne mfululizo.
Ametoa pongezi hizo leo kwenye mkutano na waandishi wa habari ikiwa ni kuelekea usiku wa Tuzo za filamu kwa mwaka 2025 zitakazofanyika Februari 14, 2025.
#TuzozaFilamuTanzania2025