Mkuu wa Chaneli ya #SinemaZetu @sophiamgaz amesema kuelekea usiku wa Tuzo za Filamu Tanzania 2025, kampuni ya Azam Media imejipanga kurusha matangazo hayo mubashara kwa viwango vya juu.

Amesema pia kwa wanaoishi nje ya Tanzania watashuhudia tuzo hizo kupitia programu tumizi ya #AzamMax popote pale walipo.

Tuzo hizo zitafanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki jijini Dar es Salaam Februari 14, 2025.

#TuzozaFilamuTanzania2025

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *