Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kheri James, amewataka wazazi na walezi kuwapeleka wanafunzi shuleni kwa wakati muhula mpya wa masomo wa mwaka 2026 unapoanza, hata kama sare na mahitaji mengine bado hayajakamilika.
Amesema wanafunzi hawapaswi kunyimwa haki ya elimu kwa sababu ya changamoto za muda, huku akiwataka wakuu wa shule kuwapokea wanafunzi bila vikwazo.
Mharir | @claud_jm
#AzamTVUpdates