Shirika la Maendeleo ya Viwanda VIdogovidogo (SIDO) mkoani Mbeya baada ya kubaini uwepo wa changamoto ya matumizi ya teknolojia za kisasa kwa wachimbaji wadogo na wakubwa katika sekta ya madini limeamua kuwawezesha mashine za kuchakata dhahabu ili kurahisisha shughuli za uchimbaji kwa wajasiriamali hao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *