Wakazi wa kijiji cha Makome B katika kata ya Mbawala halmashauri ya wilaya ya Mtwara mkoani Mtwara ambao wanateseka kupata maji ya kunywa na matumizi mengine wameiomba serikali kukamilisha mradi wa maji ambao uliwekewa jiwe la msingi na mbio za mwenge wa uhuru mwaka jana lakini haujatoa maji mpaka sasa.

#KilichoBoraKabisa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *