“Kwenye miradi mingi ya madini wananchi wengi ambao wanakaa pale wanapewa priority.

“Wanapewa ajira kwa wale ambao wana ujuzi au ambao hawana ujuzi watapewa ujuzi au watapewa zile kazi za kawaida.

“Kwa hiyo kunufaika kwa mwananchi mmoja mmoja kupewa fungu au gawio hiyo haipo lakini wananufaika owa ujumla. Wataboreshewa miundombinu watapata ajira.

“Na maendeleo yatakwenda kulingana na kodi ambazo zinalipwa pale”- Mariam Mgaya- Katibu Mtendaji Taasisi ya Uhamasishaji Uwazi Uwajibikaji  katika rasilimali za Madini,Mafuta na Gesi Asilia.

#clouds360

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *