#HABARI: Wananchi wa Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara, wameaswa kutumia msimu huu wa mvua kupanda zaidi ya miti milioni moja katika maeneo ya huduma za kijamii na kwenye kaya zao. Hatua hiyo inalenga kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia nchi, ikiwemo ukame uliokithiri na ongezeko la joto.

Akizungumza wakati wa kuzindua kampeni hiyo katika Kata ya Bashay, Mkuu wa Wilaya ya Mbulu, Mhe. Michael Semindu, amesema kuwa upandaji miti siyo tu suala la hiyari, bali ni mkakati wa makusudi wa kunusuru mazingira ya wilaya hiyo.

Powered by #MCHEZOSUPA


‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎#Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *