“Kwanza wajumbe ndio kiungo muhimu kwa sababu kupitia wajumbe wa hiyo tume, ndio tunajua sura ya maridhiano, wajumbe wanatakiwa watoke kwenye kila makundi kwenye kila jamii, tuwaone vijana, wazee, tuwaone wastaafu wa nchi hii, wanasiasa, viongozi wa dini, wananchi…”-Wakili Emmanuel Ukashu.

#KIPIMAJOTO

Powered by
#MCHEZOSUPA

JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:

📱Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 📱kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

#Follow @itvtz @radioonetanzania
@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *