Zaidi ya wanafunzi 600 wakiwemo wanaoishi mazingira magumu wa Kata ya Kalangalala Manispaa ya Geita Mkoani Geita wamepatiwa vifaa vya shule na Diwani wa Kata hiyo kwa ajili ya kuanza muhula mpya wa masomo Januari 13 2026
#kilichoborakabisa