Afisa Uhusiano wa Watumishi Housing Investment, Maryjane Makiwa, ameelezea mchakato wa kupata nyumba kupitia mradi wa watumishi housing investment ni rahisi, ikiwepo mtajea kujaza fomu ya maombi na kulipa kianzio, ambacho hutofautiana kulingana na bei ya mradi.
Ameeleza kuwa mteja anatakiwa kufahamu miradi iliyopo ili kuchagua mradi anaoutaka na kuongeza kuwa, huduma hii inapatikana kwa watumishi wa umma, sekta binafsi, na wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii, wakiwemo wakulima na wajasiriamali wanaochangia kwa hiari.
✍Halima Abdallah
Mhariri | @claud_jm
#AzamTVUpdates