Mkuu wa mkoa wa Mara kanali Evans Mtambia ameonesha kutoridhishwa na kasi ya Ujenzi wa chuo cha Ufundi Stadi Veta Mara kilichopo wilayani Rorya Mkoani Mara ambacho ujenzi wake ulianza mwaka 2023 kwa ghamara ya shilingi bilioni 1.4.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *