HABARI: Majeruhi wawili wa jinsia ya kike katika jengo la ghorofa la National Social Security House wapelekwa Hospitali ya Mnazi Mmoja kwa ajili ya matibabu zaidi.

Hayo yamethibitishwa na Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Kanda ya Ilala Frank Malongo.

Amesema moto huo ulianza kuwaka majira ya saa sita na robo mchana huku akisema chanzo cha moto hakijajulikana.

‎Powered by #MCHEZOSUPA


‎JINSI YA KUSHIRIKI MCHEZO SUPA:
‎-
‎Tuma 1000 kupitia Airtel Money, Tigo Pesa, M – Pesa, Halopesa, kwenda namba ya kampuni 222223 kumbukumbu namba ni 777 au weka neno ITV.

‎#ITVDigital #ITVUpdates #ITVTanzania
‎Follow @itvtz @radioonetanzania
‎@capitaldigitaltanzania

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *