#MICHEZO: Wekundu wa Msimbazi Simba SC, wameendelea kukisuka kikosi chao katika dirisha dogo la usajili ambapo leo Januari 20, 2026 wametangaza kumsajili Ismael Toure kutoka FC Baniyas ya Falme za Kiarabu kwa mkataba wa miaka miwili.

@hoseamchopa amechambua rekodi za nyota huyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *