Wakili na Mtaalamu wa Sheria za Familia, Susan Dotto, amesema kisheria jukumu la kuhakikisha mahitaji muhimu ya familia yanatimizwa ni la mwanaume, na kwamba anatakiwa kulitekeleza jukumu hilo kulingana na uwezo wake.
Hata hivyo, ameeleza mwanamke huwajibika kutekeleza jukumu hilo pale ambapo mwanaume atakapopata ulemavu wa kudumu au kukumbwa na tatizo la afya ya akili linalomfanya ashindwe kutekeleza wajibu wake wa kifamilia.
✍Hakima Abdallah
Mhariri | John Mbalamwezi
#AzamTVUpdates
(Feed generated with FetchRSS)