Mwinyi Zahera aanza visingizio WPL
KOCHA wa Ruangwa Queens, Mwinyi Zahera ametaja sababu ya kutoanza vizuri Ligi ya Wanawake ni pamoja na wachezaji kutokuwa na uzoefu wa kimashindano.
KOCHA wa Ruangwa Queens, Mwinyi Zahera ametaja sababu ya kutoanza vizuri Ligi ya Wanawake ni pamoja na wachezaji kutokuwa na uzoefu wa kimashindano.
INAELEZWA Alliance Girls ya Mwanza imekamilisha usajili wa wachezaji watatu waliokuwepo kwenye mashindano ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa yaliyofanyika jijini Mwanza.
WAFANYABIASHARA wadogo wa nguo za mitumba katika soko maarufu la Orofea, lililopo Kata ya Mshindo katika Halmashauri ya Manispaa ya Iringa, wamelalamikia uchakavu wa miundombinu ya soko hilo, hususan paa…
Katika miaka ya hivi karibuni, malezi ya watoto yameendelea kukabiliwa na changamoto mpya...
DAR ES SALAAM: THE most dramatic artefact to survive the AFCON 2025 final in Rabat was not a shirt torn in protest. Nor a VAR screenshot zoomed into eternity, nor…
Wawakilishi wa Tanzania katika Michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Azam FC na Singida Black...
Habari Anti, kwa masikitiko makubwa ninakueleza kuwa nakosa uamuzi ni kwa namna gani nitamkwepa...
Mwaka mpya unapofika, mara nyingi tunatafakari kuhusu malengo mapya ya kazi, fedha, afya na...
DAR ES SALAAM: THE Tanzania– Zambia Railway Authority (TAZARA), widely known as the “Freedom Railway,” stands as one of the most remarkable infrastructure projects in modern African history. Constructed between…
#HABARI: Mke wa kinara wa chama cha upinzani cha NUP nchini Uganda Bobbi Wine, Barbie Kyagulanyi ameeleza mateso aliyoyapitia mikononi mwa watu anaodai ni maafisa wa usalama. Bi Kyalunayi ambaye…
STOCKHOLM: THE Embassy of Tanzania in Sweden played a pivotal role in coordinating the country’s participation in the launch of the Nordic–Africa Health Conference, held on January 22, 2026, in…
Kundi la wanafunzi zaidi ya 190 kutoka nchini Sudan waliokuwa wanasoma udaktari Tanzania...
Kutengwa kwa waandishi wa habari kunaashiria mabadiliko katika mbinu ya uchunguzi na kumezua maswali kuhusu uwazi.
Ingawa inaweza kuonekana kama jambo la ajabu, siku hizi kumeibuka mtindo mpya wa baadhi ya watu...
Katika jamii nyingi, bado kuna imani iliyojikita kuwa ili uhusiano au ndoa idumu, lazima mmoja...
Ugomvi kati ya wazazi na watoto wao si jambo la kushangaza - hivi ndivyo utafiti unasema linapokuja suala la kufanya uamuzi mgumu kama huo.
DAR ES SALAAM: THE future of Tanzania is not shaped solely in parliament, universities, or boardrooms. It begins in the home, in the lives of parents and guardians who teach,…
Wakati baadhi ya wateja wakilalama kuhusu kuisha haraka kwa umeme wanaonunua kupitia mfumo wa...
DODOMA: THE Minister for Lands, Housing and Human Settlements Development, Dr Leonard Akwilapo, has issued a stern warning to land officers accused of unethical conduct, saying the government will no…
Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Brigedia Jenerali Ahmad Vahidi, amesema Iran itatoa jibu kali kwa uchokozi na uvamizi wowote wa maadui zake.
Watoto wawili wameuawa shahidi katika shambulio la Israel kaskazini mwa Ukanda wa Gaza, katika ukiukaji wa hivi karibuni wa makubaliano ya kusitisha mapigano baina ya utawala huo katili na Harakati…
Kiongozi wa upinzani nchini Uganda Bobi Wine, ambaye yuko mafichoni kwa siku kadhaa baada ya vikosi vya usalama kuvamia nyumba yake, amelaani siku ya Jumamosi, Januari 24, 2026, shambulio dhidi…
DAR ES SALAAM: TANZANIA and Norway have agreed to continue strengthening their cooperation in the area of carbon trading, as part of advancing joint efforts on environmental protection and sustainable…
Maajenti wa serikali kuu ya Marekani wamemuua kwa kumpiga risasi mtu mwingine mjini Minneapolis huku kukiwa na msako mkali dhidi ya wahamiaji, na kushadidisha maandamano na wito mpya kwa Rais…
Katibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah, Sheikh Naim Qassem amesema wanamapambano wa Muqawama waliwazuia askari 75,000 wa jeshi la adui Mzayuni kusonga mbele kusini mwa Lebanon wakati wa…
Rais wa Marekani, Donald Trump ametishia kuitoza Canada ushuru wa asilimia 100 iwapo Waziri Mkuu wa Canada, Mark Carney atatekeleza makubaliano ya kibiashara na China.
Mashariki mwa DRC, tangu shambulio jipya lililozinduliwa na kundi lenye silaha la AFC/M23 linaloungwa mkono na Rwanda huko Kivu Kusini mwezi Desemba, mapigano hayajakoma kabisa. Vurugu hizi zimesababisha ongezeko kubwa…
Tottenham na Liverpool zinajadili mkataba wa £5m kwa Andy Robertson, Bournemouth inakaribia kumsajili Christos Mandas kwa mkopo na Arsenal italazimika kutumia £80m kumsajili Julian Alvarez.
Wabunge wa halmashauri ya Geita, Joseph Msukuma na Mhandisi Kija Ntemi wmezichapa kavukavu na mwekezaji waliyemtuhumu kubomoa majengo ya Serikali katika kitongoji cha Katoro Center. Msukuma na Ntemi wamewasilisha malalamiko…
Sudan ni “inakabiliwa na mambo mabaya zaidi ambayo yametokea duniani,” Waziri wa Masuala ya Jamii wa Sudan amewaambia wenzetu wa shirika la habari la Agence France-Presse (AFP). Kulingana na Sulaima…
Nchini Nigeria, ubomoaji wa kikatili wa makazi duni maarufu ya Makoko huko Lagos umeshtumiwa na mashirika ya kiraia. Makumi, labda hata mamia, ya maelfu ya watu wanaaminika kupoteza nyumba zao…
Libya imetangaza siku ya Jumamosi kwamba imesaini mkataba wa miaka 25 wa mafuta wa dola bilioni 20 na kampuni ya nishati ya Ufaransa TotalEnergies na kampuni ya nishati ya Marekani…
Katika Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF) huko Davos, Uswisi, lililofanyika kuanzia Januari 19 hadi 23, 2026, Afrika Kusini ilitangaza “kujiondoa kwa muda” kutoka G20, huku Marekani ikishikilia urais wa mzunguko…
Clatus Chotta Chama, amerudi tena Msimbazi. Pale ndo ‘homu’ kwake kwa hapa Bongo. Simba ni...
Marekani inatarajiwa kuandaa Kombe la Dunia na Olimpiki katika kipindi cha miaka miwili na nusu ijayo.
Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Iran amesema kuwa Iran sasa ina makombora bora na imara zaidi kuliko yale yaliyotumika wakati wa vita vifupi kati yake na utawala wa Kizayuni…
Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Baqer Qalibaf, amesema kuwa utawala wa Israel umeshindwa kwa fedheha kubwa zaidi katika ghasia za kigaidi zilizotokea hivi karibuni nchini Iran ikilinganishwa na vita…
Mkuu wa majeshi ya Sudan Kusini amewapa wanajeshi muda wa siku saba “kuukandamiza uasi” mashariki mwa nchi, ambao unatishia usalama wa mji mkuu, Juba.
Waziri Mkuu wa Malaysia amesisitiza kuwa, nchi yake itataendeleza uhusiano wa kibiashara na kidiplomasia na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Mkuu wa shirika lisilo la kiserikali la Palestina huko Gaza ameripoti kuongezeka kwa mgogoro wa kibinadamu katika Ukanda wa Gaza.
Tangazo la Marekani la kuunda Bodi ya Amani ya Gaza limeibua wasiwasi mkubwa kuhusu jaribio la Trump la kudhoofisha Umoja wa Mataifa, sambamba na kupeleka mbele ajenda yake binafsi ya…
Leo ni Jumapili 5 Shaaban 1447 Hijria awa na 25 Januari 2026 Miladia.
Agano ni mfumo unaonganisha mtu zaidi ya mmoja au mtu na mfumo kwa kuzingatia kanuni zilizopo...
DAR ES SALAAM: WAVE of optimism is sweeping across Tanzania as citizens, taxpayers and business stakeholders gear up for the official launch of the Tanzania Revenue Authority’s (TRA) Integrated Domestic…
ZANZIBAR: ZANZIBAR has taken a major step in reviving its oil and gas exploration after the Zanzibar Petroleum Development Corporation (ZPDC) signed a contract with Africa Geophysical Services (AGS) to…
DODOMA: AS President Samia Suluhu Hassan approaches 100 days in office, the Ministry of Industry and Trade has posted tremendous gains from expanded youth financing and new factories to soaring…
TENGERU: THE late Mr Edwin Mtei, the first Governor of the Bank of Tanzania (BoT) and founding member of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), was laid to rest yesterday…
Maziko ya mwasisi wa CHADEMA, marehemu Edwin Mtei yamefanyika leo Januari 24, 2026 katika makaburi ya familia nyumbani kwake Tengeru mkoani Arusha. Maziko hayo yameongozwa na Mkuu wa Kanisa la…
Bao pekee la Esperance katika mchezo wa leo limepachikwa na Jack Diarra katika dakika ya 21...