Wafugaji samaki walalamikia gharama kubwa za ufugaji
Musoma. Wawekezaji katika sekta ya ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba wameeleza kukabiliwa...
Musoma. Wawekezaji katika sekta ya ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba wameeleza kukabiliwa...
Kupitia maadhimisho ya Wiki ya Huduma za fedha Yanayoendelea Usagara jijini Tanga Benki kuu ya Tanzania BOT imewasihi Watanzania kuendelea kutumia huduma za kifedha kidijitali ili kuepuka Hasara na hatari…
WANASIMBA wanataka kuiona timu yao inafuzu robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kama kawaida yake ilivyofanya misimu saba iliyopita kuanzia 2018, lakini sasa mlima ni mrefu kutokana na matokeo…
Miongoni mwa mambo yaliyotajwa ni uwezeshaji wa wajasiriamali wadogo na wa kati, uendelezaji wa...
TUNISIA; MAUMIVU kwa mashabiki wa Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika yanaendelea msimu huu wa mwaka 2025/25, baada ya leo timu hiyo kufungwa bao 1-0 na Espérance de Tunis ya…
Kahama. Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wilayani Kahama mkoani Shinyanga limesema utoaji wa elimu...
Njombe. Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Wanging’ombe mkoani Njombe wamependekeza wanawake...
ARUSHA; WAZIRI MKUU, Dk Mwigulu Nchemba, amemwakilisha Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan, katika ibada ya kumuaga aliyekuwa Gavana wa kwanza wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Edwin Mtei,…
Hii ni baada ya Jaji Arnold Kerekiano wa Mahakama Kuu, Masjala ndogo ya Dar es Salaam, kulitupa...
Usikose uhondo wa #NomaSeries leo, mambo ni mengi tangu siku ya kwanza ila haya mambo ya leo mbona mazito. Noma ni noma tukutane saa 1:00 usiku kupitia #SinemaZetuHD chaneli namba…
Mbowe amemwomba Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba, kuufikishia ujumbe wake kwa Rais (Samia Suluhu...
WAKATI wowote kuanzia sasa, mastaa wawili wa Yanga watakwenda kuungana na aliyekuwa mshambuliaji wa kikosi hicho, Andy Boyeli, kule Afrika Kusini ambako watapelekwa kwa mkopo ili kupisha hesabu za usajili…
WAWAKILISHI wa nchi katika michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Azam na Singida Black Stars wanashuka viwanjani leo kupambana kujiweka katika nafasi nzuri kuwania kufuzu robo fainali.
ACHANA na matokeo ya kupoteza kwa kipigo cha mabao 2-0 dhidi ya Al Ahly. Mashabiki na wanachama wa Yanga mkoani Mbeya, wamesema hawaidai chochote timu yao, huku wakieleza kuridhishwa na…
Rungwe. Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya imetumia zaidi ya Sh249 milioni kuboresha...
Iringa. Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Jaji Jacobs Mwambegele amewataka...
UONGOZI wa Namungo uko katika hatua za mwisho kuipata saini ya beki wa kushoto wa Azam FC, Julius Machela kwa mkopo hadi mwisho wa msimu huu ikiwa ni siku chache…
BEKI wa Dodoma Jiji, Miraji Abdallah ‘Zambo’ yupo kwenye hatua za mwisho kutua Singida Black Stars, huku pia nyota wa kikosi hicho, Gadiel Michael akipigiwa chapuo la kurithi nafasi yake.
BEKI wa Dodoma Jiji, Miraji Abdallah ‘Zambo’ yupo kwenye hatua za mwisho kutua Singida Black Stars, huku pia nyota wa kikosi hicho, Gadiel Michael akipigiwa chapuo la kurithi nafasi yake.
KOCHA wa Simba Queens, Mussa Hassan ‘Mgosi’, amesema ushindi dhidi ya Alliance Girls katika Ligi Kuu Soka Wanawake, ni matokeo ya maandalizi mazuri na nidhamu ya hali ya juu kutoka…
Mwalimu Ligubi aligongwa na gari katika ajali iliyotokea saa 2 usiku katika barabara kuu ya Dar...
Hatua hiyo ilifuata baada ya Jeshi la Polisi kupata taarifa za uwepo wa viongozi hao katika...
Tanga. Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (Tamwa) kimesema vitendo vya ukatili wa...
Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa limefuata sera ya Marekani ya kuichafua Iran kwa kupasisha azimio dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.
IRINGA:Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini, Fadhili Ngajilo, ameagiza kufanyika kwa maboresho ya haraka katika Soko la Mnada wa Mitumba Orofea, lililopo Kata ya Mshindo, Manispaa ya Iringa, ili kulifanya…
Maafisa na wachambuzi wa Israel, wameonya kuhusu matokeo mabaya ya mzozo wowote na Iran, wakisisitiza kwamba nguvu ya makombora na uwezo wa kijeshi wa Jamhuri ya Kiislamu ni changamoto kubwa…
Askari usalama wa Iran wamefanikiwa kuwatambua na kuwakamata vinara 140 waliohusika katika machafuko ya karibuni hapa nchini kwa ufadhili na kuungaji mkono na nchi za nje. Vinara hao wa ghasia…
Makundi ya kisiasa ya Sudan ambayo yamejitenga na muungano mkuu wa demokrasia yamesema kuwa yanafanya juhudi za kuunda muungano mpana unaolenga kurejesha utawala wa kiraia nchini humo baada ya karibu…
Baadhi ya 'Mainfluensa' Yaani watengeneza maudhui mitandanoni ambao wanatengeneza video kama hiyo, hupata hela kutoka kwa wateja wao ambao huwalipa kupata mafunzo kuhusu na mawaidha kuhusu jinsi ya kumtongoza mwanamke.
...nakuhitaji Mheshimiwa Waziri Mkuu utambue wewe na viongozi wenzako wa serikali kwamba taifa letu bado lina maumivu makubwa sana na nitakuwa na mnafiki au mswahili nisipolisema hili....hakuna jambo la maana…
Waziri wa Ulinzi wa Venezuela amethibitisha kwamba Marekani ilitumia silaha zisizojulikana wakati wa shambulizi la kumteka nyara Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo.
Hitman: Agent 47 ndio mzigo wa leo saa 4:00 usiku katika weekend movie kupitia AzamTWO. Movie hii imetafsiriwa kwa Kiswahili. #hitmanagent47 #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili – Mloganzila imehitimisha kambi maalum ya upasuaji wa kuondoa mawe kwenye figo kwa kutumia teknolojia ya kisasa ya laser ambapo tangu kuanzishwa kwa huduma hiyo Septemba…
Kibaha. Wazazi mkoani Pwani wametakiwa kuimarisha malezi kwa vijana ili kuwajengea misingi ya...
Lissu ambaye anashikiliwa mahabusu kutokana na kesi ya uhaini inayomkabili, alisema ni kutokana...
MWANZA: THE Minister of State, Prime Minister’s Office, Regional Administration and Local Government (TAMISEMI ) Prof Riziki Shemdoe, has said that the government, through the Tanzania Urban Infrastructure Development Project…
BAADA ya kukosa ushindi katika michezo minne mfululizo, Tanzania Prisons itakuwa na kibarua kingine kizito itakapowakaribisha JKT Tanzania katika mwendelezo wa Ligi Kuu Bara, mechi ikipigwa katika Uwanja wa Sokoine…
Umewahi kufikiri kuhusu sehemu moja ambayo ndani yake unakutana na volkano, binadamu wa kwanza, tamaduni za jamii za kale pamoja na mazingira ya kipekee? Sehemu hiyo ni makumbusho ya Ngorongoro…
KOCHA wa Fountain Gate, Mohamed Laizer amesema mchezo unaofuata utakuwa mgumu zaidi, kwani wapinzani wao wametokea kuchezea kichapo kikali dhidi ya Yanga.
MATOKEO yasiyoridhisha inayoendelea kuyapata Simba kwenye Ligi Kuu Bara na michuano ya kimataifa, yamemuibua nyota wa zamani wa timu hiyo, Amir Maftah ambaye ameungana na mashabiki kutoa mtazamo wake.
Kamati hiyo imebainisha kuwa vijana wengi hushindwa kutumia na kuendeleza ujuzi walioupata mara...
LICHA ya kuachana na wachezaji wanne kwenye dirisha dogo, Pamba Jiji imesisitiza kuwa haitasajili kipindi hiki kwani ina kikosi kitakachotosheleza mahitaji ya msimu uliosalia.
Mratibu mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Masuala ya Kibinadamu nchini Ukraine, Matthias Schmale, amelaani vikali mashambulizi makubwa ya usiku wa kuamkia leo yaliyoendeshwa na Urusi kwa kutumia ndege zisizo…
Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa Duniani WHO limeeleza masikitiko yake makubwa kufuatia notisi ya Marekani ya kujiondoa katika shirika hilo la Umoja wa Mataifa, likionya kuwa hatua hiyo…
Dunia itege sikio kusikiliza vijana wabunifu kwenye sekta ya elimu. Tujenge mifumo ya elimu bunifu na jumuishi Vijana si wapokeaji tu wa elimu bali ni wabunifu wa mustakabali wao
HOSPITALI ya Taifa Muhimbili (MNH) inatarajia kutoa huduma za kibingwa bobezi katika kambi maalum ya matibabu ya siku nne ya uchunguzi na matibabu ya magonjwa mbalimbali kwa wananchi wa Zanzibar.…