Historia ya usajili inaibeba Singida BS
SINGIDA Black Stars kama ilivyo kawaida, dirisha hili kikosi chake kimepanguliwa tena baada ya kuondoka kwa baadhi ya wachezaji nyota.
SINGIDA Black Stars kama ilivyo kawaida, dirisha hili kikosi chake kimepanguliwa tena baada ya kuondoka kwa baadhi ya wachezaji nyota.
KUMBUKUMBU tuliyonayo hapa kijiweni ni straika wa mpira, Paul Peter alishawahi kuonja hela za timu kubwa hapa nchini ingawa hazikuwa nyingi sana kwa vile alikuwa bado kinda wakati huo.
KUNA fagio moja kubwa linaendelea Simba dirisha hili dogo la usajili hasa likihusu wachezaji wa kigeni huku timu hiyo ikishusha vifaa vipya.
JUMLA ya makocha 16 wa mchezo wa gofu wamepata mafunzo kwa ajili ya kuwafundisha wachezaji chipukizi hapa nchini.
Washtakiwa wanne wa kesi ya uhujumu uchumi wamekiri mashtaka yaliyokuwa yakiwakabili yakiwemo...
TANZANIA Prisons imefikia pazuri katika mazungumzo ya kuwasajili wachezaji watatu wa eneo la ushambuliaji ambao ni George Mpole, Emmanuel Martin na Gustavo Simon.
KUNA mechi mbili za Ligi Kuu Bara zinachezwa leo Ijumaa zikihusisha timu zinazopambana kujiweka pazuri kwenye msimamo, huku KMC iliyoifuata TRA United, ikiwa katika mtego chini ya benchi jipya la…
Kizza Besigye, kiongozi wa upinzani nchini Uganda, amekuwa kizuizini kwa zaidi ya mwaka mmoja. Chama chake kinasema hali yake ya afya imezorota sana. Usiku wa Jumatatu, Januari 19, kuamkia Jumanne,…
UONGOZI wa Fountain Gate huenda ukahamishia mechi zake zote za nyumbani zilizobaki za Ligi Kuu Bara kwa msimu huu kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, baada ya kuutumia…
RAIS wa Bigman FC, Ahmed Waziri Gao amesema hana mpango wa kuiuza timu hiyo inayoshiriki Ligi ya Championship msimu huu kwa sasa, licha ya kudaiwa pia huenda ikapigwa bei kutokana…
Mkutano usio wa kawaida wa Jumuiya ya Kiuchumi na Fedha ya Nchi za Afrika ya Kati (CEMAC) unafanyika Brazzaville leo Alhamisi, Januari 22. Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limetoa…
Mahakama ya Wilaya ya Morogoro imewahukumu vijana sita (vishandu) wakazi wa Chamwino kifungo...
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar imezindua mfumo wa kidijitali wa usajili wa diaspora wenye asili...
Katika mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), mwezi Desemba 2025 ilikuwa mwezi hatari sana, kulingana na Kipimo cha Usalama cha Kivu. Zaidi ya waathiriwa 370 wa kiraia walirekodiwa…
Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amesema kuhamia kwa ofisi zote za umma katika Mji wa Serikali...
Jeshi la Morocco limetangaza kuwa limeipata miili ya watalii wawili wa Morocco na mwongozaji wao waliokuwa wamenaswa kufuatia maporomoko ya theluji siku ya Jumapili kwenye Mlima Toubkal, kilele cha juu…
TANGA: THE Bank of Tanzania (BoT) has been directed to intensify its oversight of the financial sector in order to protect Tanzanian citizens from the negative effects of borrowing from…
Mkasa wa Camila utafanikiwa Usikose kufuatilia #TheStoryofJuana leo kuanzia saa 1:00 usiku #AzamONE #WeSpeakSeries (Feed generated with FetchRSS)
#MEZAHURU:“..lakini kwenye kuanzishwa kwake hii ilikuwa kwanza, tulikuwa tu kwanza tunafanya maigizo maigizo lakini tulikuwa tunafanya sana sana Musical Theater na kwenye kufanya hivi vitu ilikuwa ngumu sana kuwa pamoja"-…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dokta Samia Suluhu Hassan, ataongoza zoezi maalum la upandaji miti litakalofanyika Januari 27 mwaka huu, maeneo ya Bungi Kilimo na Kizimkazi, Zanzibar, ikiwa…
ZANZIBAR: President Samia Suluhu Hassan is expected to lead a tree-planting exercise scheduled to take place on January 27, 2026, in the Bungi Kilimo and Kizimkazi areas of Zanzibar, as…
Wakati Serikali ikiwaaga vijana 228 wanaoelekea kufanya kazi nje ya nchi baada ya kupata ajira,...
Wamongoli wamekuja upya, Osman asuka mipango yake. Usikose kutazama OTTOMAN leo saa 4:00 usiku. #AzamTWO (Feed generated with FetchRSS)
#HABARI: Wataalamu kutoka Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kwa kushirikiana na wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Januari 21, 2026, wamekagua mradi na wametembelea wananchi wanufaika wa Mradi…
🔴MEZA HURU: WENYE ULEMAVU NA SANAA.JANUARI 22, 2026, (Feed generated with FetchRSS)
Wakati Rais Trump wa Marekani alipozindua mpango wa kimataifa wa Bodi ya Amani kwa ajili ya Gaza leo Alhamisi, wataalamu wakuu huru wa haki za binadamu walioteuliwa na Baraza la…
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekutana leo Alhamisi kwenye Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa jijini New York kujadili hali ya kibinadamu na kisiasa nchini Syria, ambapo serikali…
Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa Chakula Duniani WFP leo huko Abuja nchini Nigeria limeonya kuwa ukosefu mkubwa wa ufadhili unaweza kusababisha kupunguzwa kwa msaada wa dharura wa…
Shirika la Afya Duniani, WHO, likishirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF pamoja na Shirika la Umoja wa Mataifa la Makazi, UN-Habitat, leo wamezindua mwongozo mpya…
Wakati ulimwengu Jumamosi wiki hii ya Januari 24 unaadhimisha siku ya elimu duniani, nguvu ya vijana katika uvumbuzi imetajwa kuwa injini kuu ya mabadiliko ya kijamii na maendeleo endelevu. Katika…
Zaidi ya watu milioni mbili nchini Kenya wanakabiliwa na hali mbaya ya ukosefu wa uhakika wa kupata chakula kufuatia ukame wakati wa msimu uliopaswa kuwa wa mvua kati ya Oktoba…
Trump alegeza msimamo kuhusu Greenland, atupilia mbali vitisho vya ushuru kwa Ulaya. Ametoa ofa...
🔴HABARI ZA SAA, SAA NANE NA DAKIKA 55....JANUARI 22, 2026 (Feed generated with FetchRSS)
Victor Mhagama, mtoto wa aliyekuwa Mbunge wa Peramiho, Mkoa wa Ruvuma, Jenista Mhagama ameibuka mshindi wa kura za maoni ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuwania ubunge wa jimbo hilo.…
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu imeamuru na kutoa hati ya kukamatwa kwa...
Vyombo vya habari vya utawala ghasibu wa Israel sanjari na kuchapisha ripoti mbalimbali, vimekiri juu ya taathira ya operesheni za vikosi vya muqawama vya Yemen kwa uchumi wa utawala huo.
Manchester United imeshuka kutoka tano bora kwenye orodha ya klabu tajiri zaidi duniani...
SONGEA: VICTOR Mhagama, the son of the late Peramiho Member of Parliament from Ruvuma Region, Jenista Mhagama, has emerged the winner of the Chama Cha Mapinduzi (CCM) party primaries to…
Mpishi wa Nigeria, Hilda Baci ameshinda tuzo akiweka rekodi yake ya tatu ya Guinness World...
Nyumba tano zilizopo mtaa wa Idofi, kata ya Mlowa, wilayani Makambako, Mkoa wa Njombe...
Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere (MNF), Joseph Butiku amewataka Watanzania kutotoka nje...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ataadhimisha siku yake ya kuzaliwa Januari 27, 2026 kwa...
Kadiri Tanzania inavyopanua masoko yake ya mitaji, bidhaa za kifedha zilizokuwa zikihusishwa na...
Risasi za kiwango cha kijeshi zinazohusishwa na jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel zimepatikana katika uchunguzi wa kitabibu wa miili ya watoto waliouawa na magaidi wakati wa ghasia za…
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amewaonya maadui dhidi ya kufanya makosa yoyote ya kimahesabu, akisisitiza kwamba vikosi vyake viko tayari kutekeleza maagizo…
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia, Sergey Lavrov, amesema kuwa Ufaransa na Ukraine zinatoa msaada kwa makundi ya kigaidi na mitandao ya waasi barani Afrika, ikiwemo matawi ya magaidi…
Wananchi wa mtaa wa Forodhani - Bukoba, wameanza kutengeneza barabara za mtaa huo ambazo kwa muda mrefu zimekuwa hazipitiki, kwa lengo la kuondoa adha wanazokutana nazo. Wakizungumza kwa nyakati tofauti,…
Umiliki wa Mauritius juu ya Visiwa vya Chagos hauna utata wowote na “haupaswi tena kuwa mada ya mjadala,” amesema Mwanasheria Mkuu wa taifa hilo la pwani ya Afrika Mashariki. Gavin…