Wafadhili wa nje ya nchi kumaliza changamoto ya ukosefu wa mikopo kwa wanavyuo
Serikali imepanga kutumia wafadhili kutoka nje ya nchi watakaotumika kufadhili masomo ya...
Serikali imepanga kutumia wafadhili kutoka nje ya nchi watakaotumika kufadhili masomo ya...
Brooklyn Peltz Beckham, mtoto wa kwanza wa nyota wa zamani wa soka David Beckham na mbunifu wa...
Wakati idadi ya watu wenye ulemavu wa viungo wakifikia 1,370 mkoani Mbeya, Chama cha wenye...
Sehemu ya Series zitakazoruka wiki hii katika kisimbuzi chako cha AzamTV. #Azamseries #Colors #Starplus #AzamONE
Wadau hao wamesema ili SUK iwe na taswira halisi ya umoja wa kitaifa, ni muhimu iwashirikishe...
Zikiwa zimesalia wiki mbili kabla ya ufunguzi wa msimu wa 23 wa Tamasha la Sauti za Busara...
Damiba alimwondoa madarakani Rais wa Burkina Faso, Roch Marc Christian Kaboré, kupitia...
MIEZI 10 na siku 9 imepita kufikia leo Januari 21, 2026 na tunakwenda kushuhudia tena mtanange baina ya Mtibwa Sugar dhidi ya Mbeya City, huku safari hii ikiwa ni katika…
MIEZI 10 na siku 9 imepita kufikia leo Januari 21, 2026 na tunakwenda kushuhudia tena mtanange baina ya Mtibwa Sugar dhidi ya Mbeya City, huku safari hii ikiwa ni katika…
MUDA mchache baada ya Singida Black Stars kukubali kumwachia Clatous Chama atimkie Simba, uongozi wa klabu hiyo upo kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajili wa kiungo Mkongomani, Linda Mtange kutoka…
Usikose kutazama tamthiliya ya #MrsGarcia, leo usiku kuanzia saa 3:00 kupitia #AzamONE #WeSpeakSeries
Dk Mwinyi amesema sekta ya usafiri baharini ni muhimu katika maendeleo ya uchumi wa Taifa...
Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetangaza kuanza kwa mafunzo ya kijeshi ya kujitolea kwa mwaka...
AZAM baada ya jana kumaliza mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Fountain Gate, akili yao sasa ipo nchini Kenya ikiwa na kibarua cha kuikabili Nairobi United ambayo imeongeza mashine…
Nkundwe Moses Mwasaga - Mkurugenzi mkuu tume ya TEHAMA @ict_commission_tanzania #SentroYaCloudsTv #Clouds26Nyoosha
Min amefikishwa amesomewa mashtaka yake, leo Jumanne Januari 20, 2026 na wakili wa Serikali...
Mtu mmoja anayefahamika kwa majina ya Tatu Mgeta (23) amefariki dunia baada ya boda boda...
Sehemu ya vipindi vya watoto vitakavyoruka wiki hii katika chaneli za Katuni kwenye kisimbuzi chako cha AzamTV. Kwa kifurushi cha shilingi 35,000 unapata chaneli hizi za Katuni. #Cartoon #Kids
Katika hatua iliyoibua taswira ya wasiwasi kisiasa nchini Uganda, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi...
Baba wa mtoto huyo, Said Ng'amilo amesema tangu tukio hilo kutokea familia imeingia kwenye...
Nchini DRC, wito wa mazungumzo ya kitaifa unaongezeka. Baada ya maaskofu Wakatoliki, wachungaji wa Kiprotestanti, na watu kadhaa wa upinzani kama vile Moïse Katumbi na Martin Fayulu, sasa ni zamu…
Mwambe kupitia mawakili wake Mpale Mpoki na Hekima Mwasipu amefungua shauri hilo chini ya hati...
Hebu tuambie kwa upande wako unaweza kuacha kazi kwasababu ya ndoto zako ni Ujasiri au ujinga Comment yako itasomwa live na @neypova_ kwenye show tamu ya Tv #TheSpark kupitia Clouds…
Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen, leo Jumanne, ameahidi jibu “kali” kwa vitisho vya mara kwa mara vya Donald Trump kuhusu Greenland na ushuru. Imechapishwa: 20/01/2026 –…
Leo usiku kwenye #TheStoryofJuana ni kuanzia saa 1:00 usiku #AzamONE #WeSpeakSeries
NYOTA wa timu zinazoshiriki Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL), wanatarajia kuchuana katika mashindano ya kugombea Kombe la Ramadhani 'Ramadhan Star League'.
WAKATI timu zikiwa bado zinajitathmini na kujipanga upya namna zikavyoshiriki Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) 2026, nyota wa Savio, Oscar Anthony ametaja sababu mbili zilizowakwamisha msimu…
Mfalme Mohammed wa 6 wa Morocco amekubali mwaliko wa Rais wa Marekani Donald Trump wa kujiunga na “Baraza lake la Amani” kama “mwanachama mwanzilishi,” Wizara ya Mambo ya Nje ya…
Mkutano wa ngazi ya juu ulifanyika Januari 17, 2026, huko Togo, ukizingatia mashariki mwa DRC na eneo la Maziwa Makuu. Ingawa washiriki walikubaliana kuhusu kuimarisha upatanishi wa Afrika katikati ya…
Jumla ya kero 61 zimewasilishwa kwenye mkutano wa hadhara wa Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na...
HAKUNA mtandao wa kijamii uliotokea kupendwa na mastaa wengi Bongo na hata duniani kwa ujumla...
Sio mara ya kwanza kwa mchezaji kukosa goli kwa kupiga penalti katikati ya goli, penalti inayoitwa Panenka.
Kwa mara nyingine tena, mashirika ya kiraia ya Kenya yamekuwa sauti ya wenzao wa Uganda. Mnamo Januari 19, 2026, walifanya mkutano na waandishi wa habari jijini Nairobi kukemea vurugu zilizokumba…
Bendera ya Mara ipo kwenye mikono salama ya mrembo @adahqueen_tz na leo amechagua kunyoosha vocalee usiku wa #Sentro hapa @cloudstv saa 1930, malkia huyu anayemiliki pepo zenye uwiyano wa marashi…
Kamishna Mkuu wa Umoja wa Mataifa wa Haki za Binadamu, Volker Türk, amesema ameghadhabishwa vikali na mashambulizi makubwa na ya mara kwa mara ya shirikisho la Urusi dhidi ya miundombinu…
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo DRC, leo imetangaza utekelezaji wa mpango wa kurejesha kwa hatua mamlaka ya Serikali katika mji wa Uvira ulioko jimbo la Kivu Kusini Mashariki…
Nchini Kenya, shirika lisilo la kiserikali la Branch international likishirikiana na lile la Birth and Beyond na serikali ya Kenya limezindua mradi uitwayo Marua Hub unaolenga kuwawezesha vijana wasichana na…
Mapema leo Jumanne vikosi vya Israel vimebomoa kwa tingatinga makao makuu ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi wa Kipalestina huko Yerusalemu Mashariki eneo linaokaliwa kimabavu na Israel.
Mafuriko makubwa nchini Msumbiji yaliyosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha, yamesababisha majanga makubwa kwa maisha na mbinu za kujipatia kipato nchini humo, yakiongeza hatari ya magonjwa na kuyaweka maeneo ya mijini…
Ukiingia kwenye mtandao wa Instagram, X, Facebook au TikTok ni rahisi kuona mtu anatolea maoni...
Ripoti ya pamoja ya Wizara ya Elimu na Elimu ya Juu ya Palestina imeripoti kuwa, kuanzia Oktoba 2023 hadi Oktoba 2025, walimu 1,377 na wafanyakazi wa elimu waliuawa shahidi na…
🔴HABARI ZA SAA, SAA SABA NA DAKIKA 55....JANUARI 20, 2026
Serikali imewataka wafanyabiashara nchini kuimarisha ushirikiano na taasisi za umma kwa kutumia...
Rais wa zamani wa mpito wa Burkina Faso, anayedaiwa kuwa mpangaji mkuu wa njama kadhaa za mapinduzi, amekamatwa na kufukuzwa nchini Togo.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda amekutana na kufanya mazungumzo na rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) Gianni Infantino katika ofisi za FIFA zilizopo…
Mtaalamu wa Saikolojia, John Ambrose ameeleza kuwa njia bora ya kufanya vitu kwa ufanisi ni kukubaliana na changamoto mtu anazozipitia na si kuzikimbia. Ameongeza kuwa mtu anapokumbana na matatizo, anatakiwa…
#TANGAZO: Wanafunzi waliosoma shule ya Salvatorian na Masasi Girls Secondary School wanatarajia kukutana Januari 31, 2026 katika ukumbi wa Police Officers Mess Oysterbay jijini Dar er Salaam kufahamiana, kubadilishana mawazo…
Hii ndiyo zawadi aliyopewa Rais Mwinyi baada ya uzinduzi wa boti mpya ya kisasa ya Kilimanjaro IX – The Dragon of the Sea, yenye uwezo wa kubeba abiria 631 kwa…