Kutana na Lisa Fickenscher mwanadada aliyeamua kujikita katika kazi ya kufundisha Mbwa mbinu mbalimbali ikiwemo ulinzi … ambaye hivi sasa ana ndoto ya kuzalisha mbwa aina mbalimbali na kuwauza ndani na nje ya nchi.
#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi