Mwanawe Robert Mugabe Ashtakiwa na Jaribio la Kumuua Shamba Boi kwa Kumpiga Risasi
Chatunga Mugabe, mwanawe rais wa zamani wa Zimbabwe, alikabiliwa na mashtaka ya kujaribu kuua baada ya kudaiwa kumpiga risasi mtunza bustani wakati wa makabiliano
Jimbo la Maniema DRC lawaita wawekezaji wa Kitanzania
Wafanyabiashara wa Tanzania wamehamasishwa kuwekeza katika Jimbo la Maniema lililopo Jamhuri ya...
Tanzania’s Commander-in-Chief opens Defence Headquarters
DODOMA: THE Commander-in-Chief of the Tanzania Defence Forces, President Samia Suluhu Hassan, has today, February 24, 2026, officially inaugurated the National Defence Headquarters, built in the Kikombo area of Dodoma.…
Tanzania, Portugal meet to enhance their diplomatic, cooperation ties
DAR ES SALAAM: TANZANIA, and Portugal are exploring ways to enhance and deepen their cooperation for the benefit of the citizens of both countries. This comes after the Tanzanian Deputy…
Nyota Vijana aikumbuka Dar City
WAKATI wachezaji wakielezea ugumu wa michezo waliyocheza katika Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) 2025, nyota wa Vijana (City Bulls), Leonard Andrea amesema mchezo dhidi ya Dar…
Tanzania details its clean energy campaign at the SADC’s Sustainable Energy Conference
VICTORIAL FALLS: THE Tanzanian High Commissioner to Zimbabwe, Suzana Kaganda, accompanied by the Commissioner for Electricity and Renewable Energy, Innocent Luoga, led the Tanzanian delegation in a welcome session at…
Serikali yaanika faida inazozipata kutoka kampuni ilizowekeza hisa chache
Ofisi ya Msajili wa Hazina imesema uwekezaji wa Serikali katika kampuni ambazo inamiliki hisa...
Matumizi ya teknolojia kwenye utafutaji haki yapigiwa chapuo
Wakati mapinduzi ya kidijitali yakiendelea kushika kasi duniani, Serikali imeonya kuwa mageuzi...
Mtoto wa kwanza nchini Uingereza kuzaliwa kwa kutumia tumbo la uzazi lililopandikizwa
Upandikizaji wa tumbo la uzazi wa Bell kutoka kwa mtu aliyefariki ni moja kati ya upandikizaji 10 wa aina hii unaofanyiwa utafiti na majaribio ya kitabibu nchini Uingereza.
Water Authority upgrades its service system with EWURA e-Service
DAR ES SALAAM: THE Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) has announced the upgrading of its service systems to be effective from March 2, 2026. Information from the authority…
TCRA reviews broadcasting license fees to stimulate the sector’s growth.
DAR ES SALAAM: THE Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) is continuing to improve the broadcasting sector environment in the country by reviewing broadcasting license fees, a move aimed at reducing…
Fabrice Ngoy alivyobadili Upepo Namungo
Kwa kiwango anachokionesha mshambuliaji wa Namungo, Fabrice Wa Ngoy ni dhahiri kabisa upepo...
Tanzania upgrades the Musoma Port to suit the fast-growing economic sector
MUSOMA: THE Tanzanian government has embarked on rehabilitating the Musoma Port so as to open more economic opportunities in the Mara region. The Minister for Transport, Prof Makame Mbarawa revealed…
Tanoga inavyoongeza ufanisi, kupambana na bidhaa bandia
Mfumo huu wa kidijitali unarahisisha uhakiki wa bidhaa, unalinda walaji, unahakikisha wamiliki...
Siku 100 za Rais Samia zinavyoashiria mapinduzi ya kilimo
KATIKA siku 100 za mwanzo za uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, wakulima wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea na Halmashauri jirani ya Madaba wameanza kushuhudia kile kinachoweza kuitwa mwanzo…
Tanzania cherishes Singapore’s excellence in global trade, fisheries, aviation, tourism
DAR ES SALAAM: THE Tanzanian government said it will continue to learn from Singapore in international trade, fisheries, aviation, tourism, and technology, the sectors in which it has excelled. THE…
Baraza Kuu la UN lapitisha Azimio la Amani ya Kudumu Ukraine
Miaka minne tangu Urusi ilipofanya uvamizi kamili dhidi ya Ukraine, Umoja wa Mataifa umeadhimisha kumbukizi hiyo leo kwa mjadala wa ngazi ya juu wa Baraza Kuu mjini New York, uliomalizika…
UNMISS na mahakama tembezi, kuleta matumaini ya haki Mundri
Safari ya kutafuta haki katika eneo la Mundri nchini Sudan Kusini imekuwa ya muda mrefu na yenye changamoto nyingi kwa wakazi wake.
Watoto Gaza wanataka usalama, makazi ya kudumu na shule halisi badala ya mahema
Watoto walioko Ukanda wa Gaza, eneo la Palestina linalokaliwa kimabavu na Israeli wamesema wanataka usalama, makazi ya kudumu, shule halisi na msaada wa afya ya akili.
Miaka 4 ya vita Ukraine Guterres ataka sitisho la haraka la mapigano
Leo ikiwa ni miaka minne tangu Urusi ianze uvamizi kamili dhidi ya Ukraine, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, António Guterres, amesisitiza tena wito wake wa kusitishwa mara moja na…
Siku ya pili ya kikao kuhusu Duterte huko ICC
Leo ni siku ya pili ya kikao cha majaji wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, (ICC) huko The Hague Uholanzi cha kuthibitisha iwapo kuna ushahidi wa kutosha wa kumfikisha mahakama…
Ukraine yaingia mwaka wa 5 wa vita: Mashambulizi na kuhama makazi vyaongeza mateso
Katika kumbukizi ya kutimia miaka minne tangu uvamizi kamili wa Urusi dhidi ya Ukraine, maafisa wa Umoja wa Mataifa wametathmini madhara makubwa ya kibinadamu na kiuchumi ya mzozo huo huku…
Tanzania decorates EWURA at Water Sector Excellence Gala
ARUSHA: THE Ministry of Water has presented an award to the Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) in recognition of its contribution to the oversight of Water Supply and…
EACOP Project hailed for prioritizing environmental conservation
TANGA: THE East African Crude Oil Pipeline (EACOP) project has been praised for prioritising environmental conservation at all stages of the project’s implementation, particularly the protection of biodiversity in all…
Kesi ya Lissu yasimama, yahamia Mahakama ya Rufaa
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu sasa imehamia Mahakama ya Rufani.
Iraq yamueleza mjumbe wa Marekani: Uundaji wa serikali ni ‘suala letu la ndani’
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq, Fuad Hussein amesema, uundaji wa serikali mpya ya nchi hiyo ni "suala la ndani," ukiwa ni mjibizo uliotolewa wiki chache baada ya Marekani…
Droo 32 Bora CRDB Cup yapangwa, ugumu upo hapa
FURSA ya bingwa wa Kombe la Shirikisho (FA) kushiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, imetajwa kuongeza ugumu na ushindani mkali wa hatua ya 32 bora, mechi zinazotarajiwa kuchezwa Machi…
Droo 32 Bora CRDB Cup yapangwa, ugumu upo hapa
FURSA ya bingwa wa Kombe la Shirikisho (FA) kushiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, imetajwa kuongeza ugumu na ushindani mkali wa hatua ya 32 bora, mechi zinazotarajiwa kuchezwa Machi…
Mwanawe Robert Mugabe Ashtakiwa na Mauaji ya Mtunza Bustani kwa Kumpiga Risasi
Chatunga Mugabe, mwanawe rais wa zamani wa Zimbabwe, alikabiliwa na mashtaka ya kujaribu kuua baada ya kudaiwa kumpiga risasi mtunza bustani wakati wa makabiliano
Ngome mpya ya ulinzi yazinduliwa Dodoma, ujenzi kugharimu Sh318 bilioni
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jacob Mkunda, amesema ujenzi wa makao makuu mapya ya Wizara ya...
Kamanda Muliro atoa kauli kuhusu ZCO Mafwele
Wakati kukiwa na sintofahamu ya ukweli wa alipo Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Kanda...
Tanzania, CRDB Bank agree to help local miners access financial services
DAR ES SALAAM: IN a landmark move set to transform Tanzania’s mining sector, the Ministry of Minerals, through the Mining Commission, on Monday, February 23, 2026, signed a Special Agreement…
Iran kutuma nusu ya hifadhi yake ya Urani nje ya taifa hilo na kuyeyusha iliyosalia- Reuters
Ingawa Iran inasema wamepiga hatua katika mazungumzo, Marekani imekuwa ikiongeza nguvu zake za kijeshi Mashariki ya kati kwa kutuma meli na ndege za kivita.
Turkish firms affirm readiness to invest in the Tanzanian cotton industry
ISTANBUL: THE Turkish textile stakeholders expressed their readiness to undertake a working visit to Tanzania to explore investment prospects, the cotton market, and potential partnerships with local industries for mutual…
Israel imepeleka Ghaza maboksi yenye mafuvu na miili iliyonyofolewa ya wanawake Wapalestina
Mbunge wa kujitegemea, ambaye pia ni kiongozi wa zamani wa chama cha Leba nchini Uingereza Jeremy Corbyn, ametoa simulizi za kutisha zilizotokana na maelezo ya mkurugenzi wa Hospitali ya Al-Shifa…
Mwana wa Rais wa Uganda amuita ‘Hitler’ kiongozi wa RSF aliyekutana na baba yake hivi karibuni
Mwana mtatanishi wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni ambaye ni mkuu wa majeshi ya nchi hiyo Muhoozi Kainerugaba ametoa matamshi yasiyo ya kawaida katika kumshambulia kiongozi wa wanamgambo wa Sudan…
Netanyahu kuunda ‘muungano’ utakaoshirikisha Waarabu kukabiliana na mihimili ya Sunni na Shia
Waziri mkuu wa utawala wa kizayuni wa Israel Benjamin Netanyahu amesema juhudi zinaendelea kufanywa za kuunda kile alichokielezea kama "muungano" wa kikanda wa kukabiliana na kile alichokiita "mihimili ya Sunni…
Afrika Kusini: Tutafuta zaidi ya viza 2,000 zilizotolewa kupitia mitandao ya rushwa
Afrika Kusini inajiandaa kufuta zaidi ya viza 2,000 ambazo zimepatikana kwa njia isiyo sahihi, huku serikali ikiendesha msako mkali wa kupambana na rushwa ndani ya Wizara ya Mambo ya Ndani.
Babu Owino Amwanika Mhuni Aliyelipwa na Serikali Kumvamia
Babu Owino anazidisha shutuma dhidi ya PS Raymond Omollo, akidai wahuni walitatiza mikutano ya Linda Mwananchi, huku kukiwa na fujo na visa vya vurugu.
Kihenzile graces the opening of the 500m/-Makungu Health Centre
IRINGA: The Member of Parliament for Mufindi South Constituency and Deputy Minister for Transport, David Kihenzile, has inaugurated the Makungu Ward Health Centre in Mufindi District Council, Iringa, constructed at…
Volodymyr Zelensky ahimiza Umoja wa Ulaya kuweka tarehe ya Ukraine kujiunga EU
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ameuhimiza Umoja wa Ulaya siku ya Jumanne kuweka tarehe ya nchi yake kujiunga na umoja huo, katika hotuba ya video kwa Bunge la Ulaya siku…
Yanga, Simba zapishana raundi mbili Kombe la CRDB
Vigogo viwili vya soka Tanzania, Yanga na Simba hazitokutana katika raundi ya 32 bora na 16...
Waziri Mkuu ameonesha njia viongozi, watendaji waifuate
WAZIRI Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba ameendelea na ziara zinazoambatana na mikutano ya hadhara katika mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha. Ziara hizo zilizoanza tangu Februari 13, mwaka huu zimeonesha taswira…
Gyokeres ameanza kuwaliza
ENGLAND: Mabao mawili aliyofunga dhidi ya ‘Spurs’ yanamfanya mshambuliaji wa Arsenal, Viktor Gyokeres kuwa wenye mabao mengi kuliko mchezaji yoyote Ligi Kuu ya England kwa mwaka 2026 katika michuano yote.…
Data is already shaping Tanzania’s economy
DAR ES SALAAM: BANKS track customer behaviour in real time. Telecom companies analyse usage patterns every hour. Insurance firms price risk based on claims history. Retailers monitor stock movement daily.…
Maagizo sita ya Dk Mwigulu kwa Wizara ya Maji
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba, ametoa maagizo sita kwa Wizara ya Maji akisisitiza...