UM: Zaidi ya raia 200 wameuawa kwa mashambulizi ya ndege zisizo na rubani nchini Sudan
Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Turk, amesema siku ya Alhamisi “ameshtushwa” na ripoti kwamba zaidi ya raia 200 wameuawa kwa mashambulizi ya ndege zisizo…