Afisa wa zamani wa Pentagon: Hatukudhani makombora ya Iran yatakuwa ya kisasa kiasi hiki
Mshauri wa zamani wa Wizara ya Vita ya Marekani (Pentagon) amekiri kuhusu uwezo mkubwa wa makombora ya Iran na udhaifu wa mifumo ya ulinzi wa anga ya Marekani na utawala…