Katika kijiji cha Ikomela, wilaya ya Mbozi mkoani Songwe, wakulima wanaishi na hofu mashambani kufuatia uvamizi wa wadudu waharibifu aina ya funza weupe wanaoshambulia mizizi ya mazao chini ya ardhi na kuhatarisha uzalishaji.

Kwa miaka mitano sasa, mazao kama mahindi, karanga, kahawa na alizeti yameendelea kushambuliwa, hali inayotishia mavuno na usalama wa chakula kwa wakazi wa eneo hilo.

#AzamTVUpdates
Mhariri | John Mbalamwezi

(Feed generated with FetchRSS)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *